Zaburi 49:10
Wote wanaona kwamba watu wenye hekima hufa; 2 wajinga na wapumbavu vivyo hivyo huangamia 2 na kuwaachia wengine mali zao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9ili kwamba aishi milele 2 na asione uharibifu. 1
Cross References
Psalms 17:14Ee Bwana, mkono wako uniokoe na watu wa jinsi hii, 2 kutokana na watu wa ulimwengu huu 2 ambao fungu lao liko katika maisha haya. 1 Na wapate adhabu ya kuwatosha. 2 Watoto wao na wapate zaidi ya hayo, 2 hukumu na iendelee kwa watoto wa watoto wao. 1
Psalms 49:17kwa maana hatachukua chochote atakapokufa, 2 fahari yake haitashuka pamoja naye. 1
Psalms 89:49Ee Bwana, uko wapi upendo wako mkuu wa mwanzoni, 2 ambao katika uaminifu wako ulimwapia Daudi? 1
Psalms 94:8Sikizeni, enyi wajinga miongoni mwa watu; 2 enyi wapumbavu, lini mtakuwa na hekima? 1
Proverbs 12:1Yeyote apendaye kuadibishwa hupenda maarifa, 2 bali yeye achukiaye kuonywa ni mpumbavu. 1
Proverbs 30:2“Mimi ni mjinga kuliko wanadamu wote; 2 sina ufahamu wa kibinadamu. 1