The Bible Software
bible.software › Zaburi › Zaburi 89 › Zaburi 89:49

Zaburi 89:49

Ee Bwana, uko wapi upendo wako mkuu wa mwanzoni, 2 ambao katika uaminifu wako ulimwapia Daudi? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Lord, where are thy former lovingkindnesses, which thou swarest unto David in thy truth?

In Context

48Ni mtu gani awezaye kuishi na asione kifo, 2 au kujiokoa mwenyewe kutoka nguvu za kaburi? + 89:48 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. 1

50Bwana kumbuka jinsi mtumishi wako amesimangwa, 2 jinsi ninavyovumilia moyoni mwangu dhihaka za mataifa yote, 1

Read all of Zaburi 89

Cross References

2 Samuel 3:9Mungu na amshughulikie Abneri, tena kwa ukali, ikiwa sitafanya kwa ajili ya Daudi kile Bwana alichomwahidi kwa kiapo,

Psalms 49:8Fidia ya uhai ni gharama kubwa, 2 hakuna malipo yoyote yanayotosha, 1

Psalms 54:5Mabaya na yawarudie wale wanaonisingizia, 2 kwa uaminifu wako uwaangamize. 1

Psalms 89:3Ulisema, “Nimefanya agano na mteule wangu, 2 nimemwapia mtumishi wangu Daudi, 1

Psalms 132:11Bwana alimwapia Daudi kiapo, 2 kiapo cha uhakika ambacho hatakitangua: 1 “Nitamweka mmoja wa wazao wako mwenyewe 2 katika kiti chako cha enzi, 1

Isaiah 63:7Nitasimulia juu ya wema wa Bwana, 2 kwa matendo ambayo apaswa kusifiwa, 1 sawasawa na yote ambayo Bwana 2 ametenda kwa ajili yetu: 1 naam, mambo mengi mema aliyoyatenda 2 kwa ajili ya nyumba ya Israeli, 1 sawasawa na huruma zake 2 na wema wake mwingi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 89:49

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 89:48Zaburi 89Zaburi 89:50 →