Zaburi 49:13
Hii ndiyo hatima ya wale wanaojitumainia wenyewe, 2 pia ya wafuasi wao, waliothibitisha misemo yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
This their way is their folly: yet their posterity approve their sayings. Selah.
In Context
12Lakini mwanadamu, licha ya utajiri wake, hadumu; 2 anafanana na mnyama aangamiaye. 1
Cross References
Ecclesiastes 3:19Hatima ya mwanadamu ni kama ile ya wanyama; wote wana mwisho unaofanana: Jinsi anavyokufa mnyama, ndivyo anavyokufa mwanadamu. Wote wana pumzi inayofanana; mwanadamu hana cha zaidi kuliko mnyama. Kila kitu ni ubatili.
Luke 11:47“Ole wenu, kwa sababu ninyi mnajenga makaburi ya manabii waliouawa na baba zenu.
Luke 16:27“Akasema, ‘Basi, nakuomba, umtume Lazaro aende nyumbani kwa baba yangu,