Zaburi 49:19
atajiunga na kizazi cha baba zake, 2 ambao hawataona kamwe nuru ya uzima. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He shall go to the generation of his fathers; they shall never see light.
In Context
18Ingawa alipokuwa akiishi alijihesabu kuwa heri, 2 na wanadamu wanakusifu unapofanikiwa, 1
20Mwanadamu mwenye utajiri bila ufahamu 2 ni kama wanyama waangamiao.
Cross References
Genesis 15:15Wewe, hata hivyo utakwenda kwa baba zako kwa amani na kuzikwa katika uzee mwema.
Job 33:30ili aigeuze nafsi yake toka shimoni, 2 ili nuru ya uzima imwangazie. 1
Ecclesiastes 3:21Ni nani ajuaye kama roho ya mtu huenda juu na roho ya mnyama hushuka chini ardhini?”
Matthew 8:12Lakini warithi wa Ufalme watatupwa katika giza la nje, ambako kutakuwako kilio na kusaga meno.”
Luke 12:20“Lakini Mungu akamwambia, ‘Mpumbavu wewe! Usiku huu uhai wako unatakiwa. Sasa hivyo vitu ulivyojiwekea akiba vitakuwa vya nani?’
Jude 1:13Wao ni mawimbi makali ya bahari, yakitoa povu la aibu yao wenyewe, ni nyota zipoteazo, ambao weusi wa giza ndio akiba waliowekewa milele.