Ecclesiastes 3:21
Ni nani ajuaye kama roho ya mtu huenda juu na roho ya mnyama hushuka chini ardhini?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Wote huenda mahali panapofanana; wote hutoka mavumbini, mavumbini wote hurudi.
Cross References
Ecclesiastes 12:7nayo mavumbi kurudi ardhini yalikotoka, 2 na roho kurudi kwa Mungu aliyeitoa. 1
John 14:3Nami nikienda na kuwaandalia makao, nitarudi tena na kuwachukua mkae pamoja nami, ili mahali nilipo, nanyi mpate kuwepo.
2 Corinthians 5:1Kwa maana twajua kama hema yetu ya dunia tunayoishi ikiharibiwa, tunalo jengo kutoka kwa Mungu, nyumba iliyo ya milele kule mbinguni, isiyojengwa kwa mikono ya wanadamu.
Philippians 1:23Ninavutwa kati ya mambo mawili: Ninatamani kuondoka nikakae pamoja na Kristo, jambo hilo ni bora zaidi.