Zaburi 49:5
Kwa nini niogope siku mbaya zinapokuja, 2 wakati wadanganyifu waovu wanaponizunguka, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wherefore should I fear in the days of evil, when the iniquity of my heels shall compass me about?
In Context
4Nitatega sikio langu nisikilize mithali, 2 nitafafanua kitendawili kwa zeze: 1
6wale wanaotegemea mali zao 2 na kujivunia utajiri wao mwingi? 1
Cross References
Numbers 23:7Ndipo Balaamu akasema ujumbe wake: 1 “Balaki amenileta kutoka Aramu, 2 mfalme wa Moabu kutoka milima ya mashariki. 1 Akasema, ‘Njoo, unilaanie Yakobo; 2 njoo unishutumie Israeli.’ 1
Psalms 22:16Mbwa wamenizunguka, 2 kundi la watu waovu limenizingira, 2 wametoboa mikono yangu na miguu yangu. 1
Psalms 27:1Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu, 2 nimwogope nani? 1 Bwana ni ngome ya uzima wangu, 2 nimhofu nani? 1
Psalms 46:1Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, 2 msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. 1
Psalms 78:2Nitafungua kinywa changu kwa mafumbo, 2 nitazungumza mambo yaliyofichika, mambo ya kale: 1
Proverbs 24:10Ukikata tamaa wakati wa taabu, 2 jinsi gani nguvu zako ni kidogo! 1