Zaburi 49:6
wale wanaotegemea mali zao 2 na kujivunia utajiri wao mwingi? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They that trust in their wealth, and boast themselves in the multitude of their riches;
In Context
5Kwa nini niogope siku mbaya zinapokuja, 2 wakati wadanganyifu waovu wanaponizunguka, 1
Cross References
Esther 5:11Hamani akajisifia kwao juu ya utajiri wake mwingi, wanawe wengi na kwa njia zote ambazo mfalme amemheshimu kwazo na jinsi alivyomweka juu ya wakuu na maafisa wengine.
Psalms 52:7“Huyu ni yule mtu ambaye 2 hakumfanya Mungu kuwa ngome yake, 1 bali alitumainia wingi wa utajiri wake, 2 na akawa hodari kwa kuwaangamiza wengine!” 1 Neema Ya Mungu 1
Psalms 56:7Wasiepuke kwa vyovyote, 2 Ee Mungu, katika hasira yako yaangushe mataifa. 1
Psalms 112:7Hataogopa habari mbaya, 2 moyo wake ni thabiti, ukimtegemea Bwana. 1
Proverbs 10:15Mali ya tajiri ni mji wake wenye ngome, 2 bali ufukara ni maangamizi ya maskini. 1
Proverbs 23:5Kufumba na kufumbua utajiri hutoweka, 2 huwa kama umepata mabawa ghafula, 2 ukaruka na kutoweka angani kama tai. 1