Zaburi 49:8
Fidia ya uhai ni gharama kubwa, 2 hakuna malipo yoyote yanayotosha, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
(For the redemption of their soul is precious, and it ceaseth for ever:)
In Context
9ili kwamba aishi milele 2 na asione uharibifu. 1
Cross References
Job 36:18Uwe mwangalifu ili yeyote asikushawishi kwa utajiri; 2 usipotoshwe kwa fungu kubwa la rushwa. 1
Matthew 16:26Kwa maana, je, itamfaidi nini mtu kuupata ulimwengu wote, lakini akayapoteza maisha yake? Au mtu atatoa nini badala ya nafsi yake?