Zaburi 5:2
Sikiliza kilio changu ili unisaidie, 2 Mfalme wangu na Mungu wangu, 2 kwa maana kwako ninaomba. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Hearken unto the voice of my cry, my King, and my God: for unto thee will I pray.
In Context
1Ee Bwana, tegea sikio maneno yangu, 2 uangalie kupiga kite kwangu. 1
Cross References
1 Kings 8:28Hata hivyo sikiliza dua ya mtumishi wako na maombi yake kwa huruma, Ee Bwana Mungu wangu. Sikia kilio na dua ambayo mtumishi wako anaomba mbele zako siku hii ya leo.
Psalms 10:16Bwana ni Mfalme milele na milele, 2 mataifa wataangamia watoke nchini mwake. 1
Psalms 44:4Wewe ni mfalme wangu na Mungu wangu, 2 unayeamuru ushindi kwa Yakobo. 1
Psalms 65:2Ewe usikiaye maombi, 2 kwako wewe watu wote watakuja. 1
Psalms 84:3Hata shomoro amejipatia makao, 2 mbayuwayu amejipatia kiota 2 mahali awezapo kuweka makinda yake: 1 mahali karibu na madhabahu yako, 2 Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 Mfalme wangu na Mungu wangu. 1
Psalms 145:1Nitakutukuza wewe, Mungu wangu Mfalme, 2 nitalisifu jina lako milele na milele. 1