Zaburi 52:2
Ulimi wako hupanga mashauri mabaya ya maangamizi. 2 Ni kama wembe mkali, ninyi mfanyao hila. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thy tongue deviseth mischiefs; like a sharp rasor, working deceitfully.
In Context
3Unapenda mabaya kuliko mema, 2 uongo kuliko kusema kweli. 1
Cross References
Psalms 50:19Unakitumia kinywa chako kwa mabaya 2 na kuuongoza ulimi wako kwa hila. 1
Psalms 59:7Tazama yale wanayotema kutoka vinywa vyao, 2 hutema upanga kutoka midomo yao, 2 nao husema, “Ni nani atakayetusikia?” 1
Psalms 109:2kwa maana watu waovu na wadanganyifu 2 wamefungua vinywa vyao dhidi yangu; 1 wasema dhidi yangu 2 kwa ndimi za udanganyifu. 1
Psalms 140:2ambao hupanga mipango mibaya mioyoni mwao, 2 na kuchochea vita siku zote. 1
Proverbs 12:18Maneno ya kipumbavu huchoma kama upanga, 2 bali ulimi wa mwenye hekima huleta uponyaji. 1
Proverbs 30:14wale ambao meno yao ni panga 2 na ambao mataya yao yamewekwa visu 1 kuwaangamiza maskini katika nchi, 2 na wahitaji kutoka miongoni mwa wanadamu. 1