Proverbs 12:18
Maneno ya kipumbavu huchoma kama upanga, 2 bali ulimi wa mwenye hekima huleta uponyaji. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
There is that speaketh like the piercings of a sword: but the tongue of the wise is health.
In Context
17Shahidi wa kweli hutoa ushuhuda wa kuaminika, 2 bali shahidi wa uongo husema uongo. 1
19Midomo isemayo kweli hudumu milele, 2 bali ulimi wa uongo hudumu kwa muda mfupi tu. 1
Cross References
Psalms 52:2Ulimi wako hupanga mashauri mabaya ya maangamizi. 2 Ni kama wembe mkali, ninyi mfanyao hila. 1
Psalms 57:5Ee Mungu, utukuzwe juu ya mbingu, 2 utukufu wako na uenee duniani kote. 1
Psalms 64:3Wananoa ndimi zao kama panga 2 na kuelekeza maneno yao kama mishale ya kufisha. 1
Proverbs 10:20Ulimi wa mwenye haki ni fedha iliyo bora, 2 bali moyo wa mwovu una thamani ndogo. 1
Proverbs 15:4Ulimi uletao uponyaji ni mti wa uzima, 2 bali ulimi udanganyao huponda roho. 1
Proverbs 16:24Maneno ya kupendeza ni kama sega la asali, 2 ni matamu kwa nafsi na uponyaji kwenye mifupa. 1