Zaburi 55:13
Kumbe ni wewe, mwenzangu, 2 mshiriki na rafiki yangu wa karibu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But it was thou, a man mine equal, my guide, and mine acquaintance.
In Context
14ambaye awali tulifurahia ushirika mzuri, 2 tulipokuwa tukienda na umati hekaluni mwa Mungu. 1
Cross References
2 Samuel 16:23Ilikuwa katika siku hizo shauri lililotolewa na Ahithofeli lilikuwa kama lile ambalo limeulizwa kwa Mungu. Ndivyo Daudi na Absalomu walivyoyaheshimu mashauri yote ya Ahithofeli.
Psalms 41:10Lakini wewe, Ee Bwana, nihurumie, 2 ukaniinue tena, ili niweze kuwalipiza kisasi. 1
Micah 7:5Usimtumaini jirani; 2 usiweke matumaini kwa rafiki. 1 Hata kwa yule alalaye kifuani mwako 2 uwe mwangalifu kwa maneno yako. 1
Mark 14:44Basi msaliti alikuwa amewapa hao watu ishara, kwamba: “Yule nitakayembusu ndiye. Mkamateni, mkamchukue chini ya ulinzi.”
Luke 22:47Yesu alipokuwa bado anazungumza, umati mkubwa wa watu ukaja. Uliongozwa na Yuda, ambaye alikuwa mmoja wa wale wanafunzi Kumi na Wawili. Akamkaribia Yesu ili ambusu.