Micah 7:5
Usimtumaini jirani; 2 usiweke matumaini kwa rafiki. 1 Hata kwa yule alalaye kifuani mwako 2 uwe mwangalifu kwa maneno yako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 14:17Mkewe akalia kwa muda wa zile siku zote saba za karamu. Hivyo siku ile ya saba Samsoni akamweleza, kwa kuwa aliendelea kumsisitiza sana. Naye akawaeleza watu wake kile kitendawili.
Job 6:14“Mtu anayekata tamaa angetazamia moyo wa kujitoa wa rafiki zake, 2 hata kama akiacha uchaji wa Mwenyezi. 1
Psalms 118:8Ni bora kumkimbilia Bwana 2 kuliko kumtumainia mwanadamu. 1
Jeremiah 9:4“Jihadhari na rafiki zako; 2 usiwaamini ndugu zako. 1 Kwa kuwa kila ndugu ni mdanganyifu, 2 na kila rafiki ni msingiziaji. 1