The Bible Software
bible.software › Zaburi › Zaburi 64 › Zaburi 64:2

Zaburi 64:2

Unifiche kutokana na shauri la siri la waovu, 2 kutokana na zile kelele za kundi la watenda mabaya. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Hide me from the secret counsel of the wicked; from the insurrection of the workers of iniquity:

In Context

1Ee Mungu, unisikie ninapoeleza lalamiko langu, 2 uyahifadhi maisha yangu kutokana na vitisho vya adui. 1

3Wananoa ndimi zao kama panga 2 na kuelekeza maneno yao kama mishale ya kufisha. 1

Read all of Zaburi 64

Cross References

Genesis 4:6Kisha Bwana akamwambia Kaini, “Kwa nini umekasirika? Kwa nini uso wako una huzuni?

2 Samuel 17:2Nitamshambulia wakati akiwa amechoka na ni dhaifu. Nitampiga na hofu, na kisha watu wote walio pamoja naye watakimbia. Nitampiga mfalme peke yake

Psalms 3:1Ee Bwana, tazama adui zangu walivyo wengi! 2 Ni wengi kiasi gani wanaoinuka dhidi yangu! 1

Psalms 31:20Unawahifadhi katika uvuli wa uwepo wako 2 kutokana na hila za wanadamu; 1 katika makao yako huwaweka salama 2 kutokana na ndimi za mashtaka. 1

Psalms 59:2Uniponye na watu watendao mabaya, 2 uniokoe kutokana na wamwagao damu. 1

Psalms 143:9Ee Bwana, uniokoe na adui zangu, 2 kwa kuwa nimejificha kwako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 64:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 64:1Zaburi 64Zaburi 64:3 →