Genesis 4:6
Kisha Bwana akamwambia Kaini, “Kwa nini umekasirika? Kwa nini uso wako una huzuni?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the LORD said unto Cain, Why art thou wroth? and why is thy countenance fallen?
In Context
Cross References
1 Chronicles 13:11Ndipo Daudi akakasirika kwa sababu ghadhabu ya Bwana ilifurika dhidi ya Uza, mahali pale pakaitwa Peres-Uza + 13:11 Maana yake ni Gadhabu dhidi ya Uza. hadi leo.
Isaiah 1:18“Njooni basi tuhojiane,” 2 asema Bwana. 1 “Ingawa dhambi zenu ni kama rangi nyekundu, 2 zitakuwa nyeupe kama theluji; 1 ingawa ni nyekundu sana kama damu, 2 zitakuwa nyeupe kama sufu. 1
Jeremiah 2:31“Enyi wa kizazi hiki, tafakarini neno la Bwana: 1 “Je, nimekuwa jangwa kwa Israeli 2 au nchi ya giza kuu? 1 Kwa nini watu wangu wanasema, ‘Sisi tuko huru kuzurura, 2 hatutarudi kwako tena’? 1
Jonah 4:9Lakini Mungu alimwambia Yona, “Je, unayo haki kukasirika kuhusu mzabibu huo?” Akasema, “Ndiyo, ninayo haki. Nimekasirika kiasi cha kufa.”
Matthew 20:15Je, sina haki yangu kufanya kile nitakacho na mali yangu mwenyewe? Au unaona wivu kwa kuwa nimekuwa mkarimu?’
John 4:1Mafarisayo wakasikia kwamba Yesu alikuwa anapata na kubatiza wanafunzi wengi zaidi kuliko Yohana,