The Bible Software
bible.softwarePsalmsPsalms 68 › Psalms 68:21

Psalms 68:21

Hakika Mungu ataponda vichwa vya adui zake, 2 vichwa vya hao waendao katika njia za dhambi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But God shall wound the head of his enemies, and the hairy scalp of such an one as goeth on still in his trespasses.

In Context

20Mungu wetu ni Mungu aokoaye, 2 Bwana Mwenyezi hutuokoa na kifo. 1

22Bwana alisema, “Nitawarudisha kutoka Bashani; 2 nitawarudisha kutoka vilindi vya bahari, 1

Read all of Psalms 68

Cross References

Psalms 7:12Kama hakutuhurumia, 2 atanoa upanga wake, 2 ataupinda na kuufunga uzi upinde wake. 1

Psalms 68:18Ulipopanda juu, uliteka mateka, 2 ukapokea vipawa kutoka kwa wanadamu, 1 hata kutoka kwa wale walioasi, 2 ili wewe, Ee Bwana Mungu, upate kuishi huko. 1

Psalms 110:6Atawahukumu mataifa, akilundika mizoga 2 na kuwaponda watawala wa dunia nzima. 1

Isaiah 12:2Hakika Mungu ni wokovu wangu; 2 nitamtumaini wala sitaogopa. 1 Bwana, Bwana, ni nguvu zangu na wimbo wangu; 2 amekuwa wokovu wangu.” 1

Habakkuk 3:13Ulikuja kuwaokoa watu wako, 2 kumwokoa uliyemtia mafuta. 1 Ulimponda kiongozi wa nchi ya uovu, 2 ukamvua toka kichwani hadi wayo. 1

Luke 13:5Nawaambia, la hasha! Ninyi nanyi msipotubu, wote mtaangamia vivyo hivyo.” 1 Mfano Wa Mti Usiozaa Matunda

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Psalms 68:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Psalms 68:20Psalms 68Psalms 68:22 →