The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 12 › Isaiah 12:2

Isaiah 12:2

Hakika Mungu ni wokovu wangu; 2 nitamtumaini wala sitaogopa. 1 Bwana, Bwana, ni nguvu zangu na wimbo wangu; 2 amekuwa wokovu wangu.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, God is my salvation; I will trust, and not be afraid: for the LORD JEHOVAH is my strength and my song; he also is become my salvation.

In Context

1Katika siku ile utasema: 1 “Nitakusifu wewe, Ee Bwana. 2 Ingawa ulinikasirikia, 1 hasira yako imegeukia mbali 2 nawe umenifariji. 1

3Kwa furaha mtachota maji 2 kutoka visima vya wokovu.

Read all of Isaiah 12

Cross References

Exodus 15:2Bwana ni nguvu zangu na wimbo wangu; 2 amekuwa wokovu wangu. 1 Yeye ni Mungu wangu, nami nitamsifu, 2 Mungu wa baba yangu, nami nitamtukuza. 1

Psalms 27:1Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu, 2 nimwogope nani? 1 Bwana ni ngome ya uzima wangu, 2 nimhofu nani? 1

Psalms 68:20Mungu wetu ni Mungu aokoaye, 2 Bwana Mwenyezi hutuokoa na kifo. 1

Psalms 83:18Hebu wajue kwamba wewe, ambaye jina lako ni Bwana, 2 kwamba wewe peke yako ndiwe Uliye Juu Sana ya dunia yote.

Psalms 118:21Nitakushukuru, kwa kuwa ulinijibu, 2 umekuwa wokovu wangu. 1

Isaiah 9:6Kwa maana, kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, 2 tumepewa mtoto mwanaume, 2 nao utawala utakuwa mabegani mwake. 1 Naye ataitwa 2 Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, 2 Baba wa Milele, Mfalme wa Amani. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 12:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 12:1Isaiah 12Isaiah 12:3 →