Zaburi 69:2
Ninazama kwenye vilindi vya matope, 2 pasipo mahali pa kukanyaga, 1 Nimefika kwenye maji makuu, 2 mafuriko yamenigharikisha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Ee Mungu, niokoe, 2 kwa maana maji yamenifika shingoni. 1
Cross References
Genesis 7:17Kwa siku arobaini mafuriko yaliendelea kujaa duniani na maji yalivyozidi kuongezeka, yaliinua safina juu sana kutoka kwenye uso wa nchi.
Psalms 32:6Kwa hiyo kila mtu mcha Mungu akuombe 2 wakati unapopatikana, 1 hakika maji makuu yatakapofurika 2 hayatamfikia yeye. 1
Psalms 88:6Umenitupa katika shimo lenye kina kirefu sana, 2 katika vina vya giza nene. 1
Jeremiah 38:22Wanawake wote walioachwa katika jumba la kifalme la mfalme wa Yuda wataletwa mbele ya maafisa wa mfalme wa Babeli. Wanawake hao watakuambia: 1 “ ‘Walikupotosha na kukushinda, 2 wale rafiki zako uliowaamini. 1 Miguu yako imezama matopeni; 2 rafiki zako wamekuacha.’
Jonah 2:6Nilizama chini sana mpaka pande za mwisho za milima, 2 makomeo ya hiyo nchi yalinifungia hata milele. 1 Lakini uliuleta uhai wangu kutoka shimoni, 2 Ee Bwana Mungu wangu. 1
Matthew 26:37Akamchukua Petro pamoja na wale wana wawili wa Zebedayo, akaanza kuhuzunika na kufadhaika.