The Bible Software
bible.software › Zaburi › Zaburi 73 › Zaburi 73:2

Zaburi 73:2

Bali kwangu mimi, miguu yangu ilikuwa karibu kuteleza; 2 nilikuwa karibu mguu wangu kuachia uliposimama. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But as for me, my feet were almost gone; my steps had well nigh slipped.

In Context

1Hakika Mungu ni mwema kwa Israeli, 2 kwa wale ambao mioyo yao ni safi. 1

3Kwa maana niliwaonea wivu wenye kujivuna 2 nilipoona kufanikiwa kwa waovu. 1

Read all of Zaburi 73

Cross References

1 Samuel 2:9Yeye atailinda miguu ya watakatifu wake, 2 lakini waovu watanyamazishwa kwenye giza. 1 “Si kwa nguvu mtu hushinda; 2

1 Chronicles 22:7Daudi akamwambia Solomoni: “Mwanangu, nilikuwa na jambo hili ndani ya moyo wangu kujenga nyumba kwa ajili ya Jina la Bwana Mungu wangu.

Job 21:4“Je, kwani malalamiko yangu yanaelekezwa kwa mwanadamu? 2 Kwa nini nisikose subira? 1

Psalms 17:5Hatua zangu zimeshikamana na njia zako; 2 nyayo zangu hazikuteleza. 1

Psalms 35:13Lakini walipokuwa wagonjwa, nilivaa nguo ya gunia 2 na nikajinyenyekesha kwa kufunga. 1 Maombi yangu yaliponirudia bila kujibiwa, 2

Psalms 94:18Niliposema, “Mguu wangu unateleza,” 2 Ee Bwana, upendo wako ulinishikilia. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 73:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 73:1Zaburi 73Zaburi 73:3 →