The Bible Software
bible.software › 1 Samweli › 1 Samweli 2 › 1 Samweli 2:9

1 Samweli 2:9

Yeye atailinda miguu ya watakatifu wake, 2 lakini waovu watanyamazishwa kwenye giza. 1 “Si kwa nguvu mtu hushinda; 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He will keep the feet of his saints, and the wicked shall be silent in darkness; for by strength shall no man prevail.

In Context

8Humwinua maskini kutoka mavumbini 2 na humwinua mhitaji kutoka lundo la majivu; 1 huwaketisha pamoja na wakuu 2 na kuwafanya warithi kiti cha enzi cha heshima. 1 “Kwa kuwa misingi ya dunia ni ya Bwana; 2 juu yake ameuweka ulimwengu. 1

10wale wampingao Bwana 2 wataharibiwa kabisa. 1 Atapiga radi dhidi yao kutoka mbinguni; 2 Bwana ataihukumu miisho ya dunia. 1 “Atampa nguvu mfalme wake, 2 na kuitukuza pembe 2 ya mpakwa mafuta wake.”

Read all of 1 Samweli 2

Cross References

Deuteronomy 33:3Hakika ni wewe ambaye huwapenda watu, 2 watakatifu wako wote wamo mkononi mwako. 1 Miguuni pako wote wanasujudu 2 na kutoka kwako wanapokea mafundisho, 1

1 Samuel 25:26“Basi sasa, kwa kuwa Bwana amekuzuia, wewe bwana wangu, kutokumwaga damu na kutolipiza kisasi kwa mikono yako mwenyewe, hakika kama Bwana aishivyo na kama uishivyo, maadui zako na wote wanaokusudia kumdhuru bwana wangu wawe kama Nabali.

Job 5:24Utajua ya kwamba hema lako li salama; 2 utahesabu mali zako wala hutakuta chochote kilichopungua. 1

Job 40:13Wazike wote mavumbini pamoja; 2 wafunge nyuso zao kaburini. 1

Psalms 33:16Hakuna mfalme aokokaye kwa ukubwa wa jeshi lake; 2 hakuna shujaa aokokaye kwa wingi wa nguvu zake. 1

Psalms 37:28Kwa kuwa Bwana huwapenda wenye haki 2 naye hatawaacha waaminifu wake. 1 Watalindwa milele, 2 lakini uzao wa waovu utakatiliwa mbali. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Samweli 2:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Samweli 2:81 Samweli 21 Samweli 2:10 →