The Bible Software
bible.softwarePsalmsPsalms 74 › Psalms 74:21

Psalms 74:21

Usiruhusu walioonewa warudi nyuma kwa aibu; 2 maskini na wahitaji hebu walisifu jina lako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

O let not the oppressed return ashamed: let the poor and needy praise thy name.

In Context

20Likumbuke agano lako, 2 maana mara kwa mara mambo ya jeuri 2 yamejaa katika sehemu za giza nchini. 1

22Inuka, Ee Mungu, ujitetee; 2 kumbuka jinsi wapumbavu 2 wanavyokudhihaki mchana kutwa. 1

Read all of Psalms 74

Cross References

Psalms 9:18Lakini mhitaji hatasahaulika siku zote, 2 wala matumaini ya walioonewa hayatapotea. 1

Psalms 35:10Nitapaza sauti yangu nikisema, 2 “Ni nani aliye kama wewe, Ee Bwana? 1 Wewe huwaokoa maskini kutokana na wale walio na nguvu kuliko wao, 2 maskini na mhitaji kutokana na wanaowanyangʼanya!” 1

Psalms 103:6Bwana hutenda haki, 2 naye huwapa hukumu ya haki wote wanaoonewa. 1

Isaiah 45:17Lakini Israeli ataokolewa na Bwana 2 kwa wokovu wa milele; 1 kamwe hutaaibika wala kutatahayarika, 2 milele yote. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Psalms 74:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Psalms 74:20Psalms 74Psalms 74:22 →