The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 45 › Isaiah 45:17

Isaiah 45:17

Lakini Israeli ataokolewa na Bwana 2 kwa wokovu wa milele; 1 kamwe hutaaibika wala kutatahayarika, 2 milele yote. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But Israel shall be saved in the LORD with an everlasting salvation: ye shall not be ashamed nor confounded world without end.

In Context

16Wote watengenezao sanamu wataaibika na kutahayarika; 2 wataenda kutahayarika pamoja. 1

18Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana, 2 yeye aliyeumba mbingu, 2 ndiye Mungu; 1 yeye aliyeifanya dunia na kuiumba, 2 yeye ndiye aliiwekea misingi imara, 1 hakuiumba ili iwe tupu, 2 bali aliiumba ikaliwe na viumbe vyake. 1 Anasema: 2 “Mimi ndimi Bwana, 2 wala hakuna mwingine. 1

Read all of Isaiah 45

Cross References

Psalms 25:3Kamwe hakuna hata mmoja anayekutegemea 2 atakayeaibishwa, 1 bali wataaibishwa 2 wafanyao hila bila sababu. 1

Isaiah 26:4Mtumaini Bwana milele, 2 kwa kuwa Bwana, Bwana, ni Mwamba wa milele. 1

Isaiah 45:25Lakini katika Bwana wazao wote wa Israeli 2 wataonekana wenye haki na watashangilia.

Isaiah 51:6Inueni macho yenu mbinguni, 2 mkaitazame dunia chini; 1 mbingu zitatoweka kama moshi, 2 dunia itachakaa kama vazi, 2 na wakazi wake kufa kama mainzi. 1 Bali wokovu wangu utadumu milele, 2 haki yangu haitakoma kamwe. 1

Isaiah 54:4“Usiogope, wewe hutaaibika. 2 Usiogope aibu, wewe hutaaibishwa. 1 Wewe utasahau aibu ya ujana wako, 2 wala hutakumbuka tena mashutumu ya ujane wako. 1

Isaiah 60:19Jua halitakuwa tena nuru yako mchana, 2 wala mwangaza wa mwezi hautakuangazia, 1 kwa maana Bwana atakuwa nuru yako ya milele, 2 naye Mungu wako atakuwa utukufu wako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 45:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 45:16Isaiah 45Isaiah 45:18 →