Zaburi 76:2
Hema lake liko Salemu, 2 makao yake katika Sayuni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Salem also is his tabernacle, and his dwelling place in Zion.
In Context
1Katika Yuda, Mungu anajulikana, 2 jina lake ni kuu katika Israeli. 1
3Huko alivunja mishale imetametayo, 2 ngao na panga, silaha za vita. 1
Cross References
Genesis 14:18Ndipo Melkizedeki mfalme wa Salemu alipoleta mkate na divai. Alikuwa kuhani wa Mungu Aliye Juu Sana.
Psalms 9:11Mwimbieni Bwana sifa, amefanywa mtawala Sayuni, 2 tangazeni miongoni mwa mataifa, yale aliyoyatenda. 1
Psalms 48:2Ni mzuri katika kuinuka kwake juu sana, 2 furaha ya dunia yote. 1 Kama vilele vya juu sana vya Safoni + 48:2 Safoni inaweza ikawa na maana ya mlima mtakatifu au upande wa kaskazini. ni Mlima Sayuni, 2 mji wa Mfalme Mkuu. 1
Isaiah 12:6Pazeni sauti mwimbe kwa furaha, watu wa Sayuni, 2 kwa maana mkuu ni yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli miongoni mwenu.”
Hebrews 7:1Kwa kuwa huyu Melkizedeki alikuwa mfalme wa Salemu na kuhani wa Mungu Aliye Juu Sana. Alipokutana na Abrahamu akirudi kutoka kuwashinda hao wafalme, Melkizedeki alimbariki,