Zaburi 79:13
Ndipo sisi watu wako, kondoo wa malisho yako, 2 tutakusifu milele; 1 toka kizazi hadi kizazi 2 tutasimulia sifa zako.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Walipize jirani zetu mara saba vifuani mwao 2 aibu walizovurumisha juu yako, Ee Bwana. 1
Cross References
Psalms 44:8Katika Mungu wetu tunajivuna mchana kutwa, 2 nasi tutalisifu jina lako milele. 1
Psalms 74:1Ee Mungu, mbona umetukataa milele? 2 Mbona hasira yako inatoka moshi 2 juu ya kondoo wa malisho yako? 1
Psalms 74:22Inuka, Ee Mungu, ujitetee; 2 kumbuka jinsi wapumbavu 2 wanavyokudhihaki mchana kutwa. 1
Psalms 100:3Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu. 2 Yeye ndiye alituumba, sisi tu mali yake; 1 sisi tu watu wake, 2 kondoo wa malisho yake. 1
Isaiah 43:21watu wale niliowaumba kwa ajili yangu, 2 ili wapate kutangaza sifa zangu. 1