Zaburi 79:2
Wametoa maiti za watumishi 2 kuwa chakula cha ndege wa angani 1 na nyama ya watakatifu wako 2 kwa wanyama wa nchi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Wamemwaga damu kama maji 2 kuzunguka Yerusalemu yote, 2 wala hakuna yeyote wa kuwazika. 1
Cross References
Deuteronomy 28:26Mizoga yenu itakuwa chakula cha ndege wa angani na wanyama wa nchi, wala hapatakuwepo mtu yeyote wa kuwafukuza.
Jeremiah 15:3Bwana asema, “Nitatuma aina nne za waharabu dhidi yao: nazo ni upanga ili kuua na mbwa ili wakokote mbali, ndege wa angani na wanyama wa nchi ili kula na kuangamiza.
Jeremiah 19:7“ ‘Nitaiharibu mipango ya Yuda na Yerusalemu mahali hapa. Nitawafanya waanguke kwa upanga mbele ya adui zao, katika mikono ya wale watafutao uhai wao, nami nitaitoa mizoga yao kuwa chakula cha ndege wa angani na wanyama wa nchi.
Zephaniah 1:17Nitawaletea watu dhiki, 2 nao watatembea kama vipofu, 1 kwa sababu wametenda dhambi 2 dhidi ya Bwana. 1 Damu yao itamwagwa kama vumbi 2 na matumbo yao kama taka. 1