Zaburi 80:13
Nguruwe mwitu wanauharibu 2 na wanyama wa kondeni hujilisha humo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The boar out of the wood doth waste it, and the wild beast of the field doth devour it.
In Context
12Mbona umebomoa kuta zake 2 ili wote wapitao karibu 2 wazichume zabibu zake? 1
14Turudie, Ee Mungu Mwenye Nguvu Zote! 2 Tazama chini kutoka mbinguni na uone! 1 Linda mzabibu huu, 2
Cross References
2 Kings 18:1Katika mwaka wa tatu wa utawala wa Hoshea mwana wa Ela mfalme wa Israeli, Hezekia mwana wa Ahazi mfalme wa Yuda alianza kutawala.
2 Chronicles 32:1Baada ya yale yote aliyokuwa amefanya Hezekia kwa uaminifu mkubwa, Senakeribu mfalme wa Ashuru akaja na kuvamia Yuda. Akaizunguka miji yenye ngome kwa jeshi, akifikiri kuiteka iwe yake.
Psalms 89:42Umeutukuza mkono wa kuume wa adui zake, 2 umewafanya watesi wake wote washangilie. 1
Jeremiah 4:7Simba ametoka nje ya pango lake, 2 mharabu wa mataifa amejipanga. 1 Ametoka mahali pake 2 ili aangamize nchi yenu. 1 Miji yenu itakuwa magofu 2 pasipo mtu wa kuishi humo. 1
Jeremiah 39:1Hivi ndivyo Yerusalemu ilivyotwaliwa: Katika mwaka wa tisa wa utawala wa Mfalme Sedekia wa Yuda, katika mwezi wa kumi, Nebukadneza mfalme wa Babeli akiwa na jeshi lake lote alifanya vita dhidi ya Yerusalemu na akauzunguka mji.
Jeremiah 52:7Kisha ukuta wa mji ukavunjwa na jeshi lote likakimbia. Wakaondoka mjini usiku kupitia lango lililokuwa kati ya kuta mbili karibu na bustani ya mfalme, ingawa Wakaldayo walikuwa wameuzunguka mji. Wakakimbia kuelekea Araba.