Zaburi 82:2
“Hata lini utaendelea kuwatetea wasio haki 2 na kuonyesha upendeleo kwa waovu? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
How long will ye judge unjustly, and accept the persons of the wicked? Selah.
In Context
1Mungu anaongoza kusanyiko kuu, 2 anatoa hukumu miongoni mwa “miungu”: 1
3Teteeni wanyonge na yatima, 2 tunzeni haki za maskini na walioonewa. 1
Cross References
Exodus 10:3Kwa hiyo Mose na Aroni wakaenda kwa Farao na kumwambia, “Hili ndilo Bwana, Mungu wa Waebrania, asemalo: ‘Utaendelea hata lini kukataa kunyenyekea mbele yangu? Waachie watu wangu waende, ili wapate kuniabudu.
Leviticus 19:15“ ‘Usipotoshe haki; usionyeshe kumpendelea maskini, wala upendeleo kwa mwenye cheo, bali mwamulie jirani yako kwa haki.
1 Kings 18:21Eliya akasimama mbele ya watu na kusema, “Mtasitasita katika mawazo mawili hadi lini? Ikiwa Bwana ndiye Mungu, mfuateni yeye; lakini ikiwa Baali ni Mungu, basi mfuateni yeye.” Lakini watu hawakusema kitu.
Job 32:21Sitampendelea mtu yeyote, 2 wala sitajipendekeza kwa mtu yeyote; 1
Psalms 58:1Enyi watawala, je, kweli mwanena kwa haki? 2 Je, mnahukumu kwa unyofu miongoni mwa watu? 1
Proverbs 18:5Sio vizuri kumpendelea mtu mwovu, 2 au kumnyima haki asiye na hatia. 1