Proverbs 18:5
Sio vizuri kumpendelea mtu mwovu, 2 au kumnyima haki asiye na hatia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
It is not good to accept the person of the wicked, to overthrow the righteous in judgment.
In Context
6Midomo ya mpumbavu humletea ugomvi 2 na kinywa chake hualika kipigo. 1
Cross References
Exodus 23:3nawe usimpendelee mtu maskini katika mashtaka yake.
Leviticus 19:15“ ‘Usipotoshe haki; usionyeshe kumpendelea maskini, wala upendeleo kwa mwenye cheo, bali mwamulie jirani yako kwa haki.
Deuteronomy 16:19Msipotoshe haki wala msifanye upendeleo. Msikubali rushwa kwa sababu rushwa hupofusha macho ya wenye busara na kugeuza maneno ya wenye haki.
Job 13:7Je, mtazungumza kwa uovu kwa niaba ya Mungu? 2 Je, mtazungumza kwa udanganyifu kwa niaba yake? 1
Psalms 82:2“Hata lini utaendelea kuwatetea wasio haki 2 na kuonyesha upendeleo kwa waovu? 1
Proverbs 24:23Hii pia ni misemo ya wenye hekima: 1 Kuonyesha upendeleo katika hukumu si vyema: 1