Psalms 94:21
Huungana kuwashambulia wenye haki, 2 kuwahukumu kufa wasio na hatia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They gather themselves together against the soul of the righteous, and condemn the innocent blood.
In Context
22Lakini Bwana amekuwa ngome yangu, 2 na Mungu wangu amekuwa mwamba ninaoukimbilia. 1
Cross References
Exodus 23:7Ujiepushe na mashtaka ya uongo, wala usimuue mtu asiye na hatia au mtu mwaminifu, kwa maana sitamhesabia hana hatia yeye aliye na hatia.
2 Chronicles 24:21Lakini wakafanya shauri baya juu yake na kwa amri ya mfalme wakampiga kwa mawe mpaka akafa katika ukumbi wa Hekalu la Bwana.
Psalms 22:16Mbwa wamenizunguka, 2 kundi la watu waovu limenizingira, 2 wametoboa mikono yangu na miguu yangu. 1
Psalms 59:3Tazama wanavyonivizia! 2 Watu wakali wananifanyia hila, 1 ingawa Ee Bwana, mimi sijakosea 2 wala kutenda dhambi. 1
Proverbs 1:11Kama wakisema, “Twende tufuatane; 2 tukamvizie mtu na kumwaga damu, 2 njoo tukavizie nafsi isiyo na hatia; 1
Proverbs 17:15Yeye asemaye kuwa asiye na haki ana haki, 2 naye asemaye kuwa mwenye haki hana haki: 2 Bwana huwachukia sana wote wawili. 1