The Bible Software
bible.software › Ufunuo › Ufunuo 13 › Ufunuo 13:9

Ufunuo 13:9

Yeye aliye na sikio na asikie. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

If any man have an ear, let him hear.

In Context

8Nao watu wote waishio duniani watamwabudu huyo mnyama, yaani, wale wote ambao majina yao hayakuandikwa kwenye kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo aliyechinjwa tangu kuumbwa kwa ulimwengu.

10Ikiwa mtu ni wa kuchukuliwa mateka, 2 atachukuliwa mateka. 1 Ikiwa mtu ni wa kuuawa kwa upanga, 2 atauawa kwa upanga. Hapa ndipo penye wito wa subira na imani ya watakatifu. 1 Mnyama Kutoka Dunia

Read all of Ufunuo 13

Cross References

Revelation 2:7“Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa haki ya kula matunda toka kwa mti wa uzima, ambao uko katika paradiso + 2:7 Paradiso hapa ina maana ya Bustani, yaani shamba dogo la miti izaayo matunda. ya Mungu. 1 Kwa Kanisa Lililoko Smirna

Revelation 2:17“Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye nitampa baadhi ya ile mana iliyofichwa. Nitampa pia jiwe jeupe ambalo juu yake limeandikwa jina jipya asilolijua mtu, isipokuwa yule anayelipokea. 1 Kwa Kanisa Lililoko Thiatira

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Ufunuo 13:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ufunuo 13:8Ufunuo 13Ufunuo 13:10 →