Ufunuo 13:10
Ikiwa mtu ni wa kuchukuliwa mateka, 2 atachukuliwa mateka. 1 Ikiwa mtu ni wa kuuawa kwa upanga, 2 atauawa kwa upanga. Hapa ndipo penye wito wa subira na imani ya watakatifu. 1 Mnyama Kutoka Dunia
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Yeye aliye na sikio na asikie. 1
Cross References
Genesis 9:5Hakika damu ya uhai wenu nitaidai. Nitaidai kutoka kwa kila mnyama. Kutoka kwa kila mwanadamu pia nitaidai kwa ajili ya uhai wa mtu mwenzake. 1
Isaiah 14:2Mataifa watawachukua 2 na kuwaleta mahali pao wenyewe. 1 Nayo nyumba ya Israeli itamiliki mataifa 2 kama watumishi na wajakazi katika nchi ya Bwana. 1 Watawafanya watekaji wao kuwa mateka, 2 na kutawala juu ya wale waliowaonea.
Isaiah 33:1Ole wako wewe, ee mharabu, 2 wewe ambaye hukuharibiwa! 1 Ole wako, ee msaliti, 2 wewe ambaye hukusalitiwa! 1 Utakapokwisha kuharibu, 2 utaharibiwa; 1 utakapokwisha kusaliti, 2 utasalitiwa. 1
Jeremiah 43:11Atakuja na kuishambulia Misri, akiwaua wale waliokusudiwa kuuawa, awateke mateka wale waliokusudiwa kutekwa, na upanga kwa wale waliokusudiwa upanga.
Habakkuk 2:3Kwa kuwa ufunuo huu unasubiri wakati uliokubalika; 2 unazungumzia mambo ya mwisho, 2 na kamwe hautakosea. 1 Iwapo utakawia, wewe usubiri; 2 kwa hakika utakuja na hautachelewa. 1
Matthew 26:52Ndipo Yesu akamwambia, “Rudisha upanga wako mahali pake, kwa maana wote watumiao upanga watakufa kwa upanga.