The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 25 › Matthew 25:13

Matthew 25:13

“Kwa hiyo kesheni, kwa sababu hamjui siku wala saa. 1 Mfano Wa Watumishi Watatu Na Talanta (Luka 19:11-27)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Watch therefore, for ye know neither the day nor the hour wherein the Son of man cometh.

In Context

12“Lakini yeye bwana arusi akawajibu, ‘Amin, amin nawaambia, siwajui ninyi!’

14“Tena, Ufalme wa Mbinguni ni kama mtu aliyetaka kusafiri, naye akawaita watumishi wake na kuweka mali yake kwenye uangalizi wao.

Read all of Matthew 25

Cross References

Matthew 24:42“Basi kesheni, kwa sababu hamjui ni siku gani atakapokuja Bwana wenu.

Mark 13:33Jihadharini! Kesheni! Kwa maana hamjui wakati ule utakapowadia.

Acts 20:31Hivyo jilindeni! Kumbukeni kwamba kwa miaka mitatu sikuacha kamwe kuwaonya kila mmoja kwa machozi usiku na mchana.

1 Thessalonians 5:6Kwa hiyo basi, tusilale kama watu wengine walalavyo, bali tukeshe na kuwa na kiasi.

1 Peter 4:7Mwisho wa mambo yote umekaribia. Kwa hiyo kuweni na akili tulivu na kiasi, mkikesha katika kuomba.

Revelation 16:15“Tazama, naja kama mwizi! Amebarikiwa yeye akeshaye na kuziweka tayari nguo zake ili asiende uchi na kuonekana aibu yake.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 25:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 25:12Matthew 25Matthew 25:14 →