bible.software › Revelation › Revelation 21 › Revelation 21:13
Revelation 21:13
Kulikuwa na malango matatu upande wa mashariki, matatu upande wa kaskazini, matatu upande wa kusini na matatu upande wa magharibi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
On the east three gates; on the north three gates; on the south three gates; and on the west three gates.
In Context
12Ulikuwa na ukuta mkubwa, mrefu wenye malango kumi na mawili, pakiwa na malaika kumi na wawili kwenye hayo malango. Kwenye malango hayo yaliandikwa majina ya yale makabila kumi na mawili ya Israeli.
14Ukuta wa huo mji ulikuwa na misingi kumi na miwili, na juu yake yaliandikwa majina ya wale mitume kumi na wawili wa Mwana-Kondoo.
Read all of Revelation 21
This Verse In Other Editions
Study Revelation 21:13