Revelation 21:14
Ukuta wa huo mji ulikuwa na misingi kumi na miwili, na juu yake yaliandikwa majina ya wale mitume kumi na wawili wa Mwana-Kondoo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 54:11“Ewe mji uliyeteswa, uliyepigwa kwa dhoruba na usiyetulizwa, 2 nitakujenga kwa almasi, nitaweka misingi yako kwa yakuti samawi. 1
Matthew 16:18Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hata malango ya Kuzimu hayataweza kulishinda.
Galatians 2:9Basi, Yakobo, Kefa + 2:9 Yaani Petro, pia mstari 11, 14. na Yohana, walioonekana kama nguzo za kanisa, walitupa mkono wa shirika, mimi na Barnaba walipotambua ile neema niliyopewa. Wakakubali kwamba sisi twende kwa watu wa Mataifa na wao waende kwa Wayahudi.
Ephesians 3:5Siri hii haikudhihirishwa kwa wanadamu katika vizazi vingine kama vile sasa ilivyodhihirishwa na Roho kwa mitume na manabii watakatifu wa Mungu.
Hebrews 11:10Kwa maana alikuwa akiutazamia mji wenye misingi ya kudumu ambao mwenye kuubuni na kuujenga ni Mungu.
Revelation 18:20Furahia kwa ajili yake, ee mbingu! 2 Furahini watakatifu, mitume na manabii! 1 Mungu amemhukumu 2 kwa vile alivyowatendea ninyi.’ ”