Revelation 21:21
Yale malango kumi na mbili yalikuwa ni lulu kumi na mbili, kila lango lilikuwa limetengenezwa kwa lulu moja. Barabara kuu ya mji huo ilikuwa ya dhahabu safi ingʼaayo kama kioo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Sikuona Hekalu ndani ya huo mji kwa sababu Bwana Mungu Mwenyezi na Mwana-Kondoo ndio hekalu lake.
Cross References
1 Kings 6:20Sehemu takatifu ya ndani ilikuwa na upana, urefu na kimo cha dhiraa ishirini ndani kwa ndani. Akaifunika ndani kwa dhahabu safi, pia akaifunika madhabahu ya mierezi vivyo hivyo.
Matthew 13:45“Tena, Ufalme wa Mbinguni unafanana na mfanyabiashara aliyekuwa akitafuta lulu safi.
Revelation 18:16“ ‘Ole! Ole, ee mji mkubwa, 2 uliyekuwa umevikwa mavazi ya kitani safi, 2 ya rangi ya zambarau na nyekundu, 1 ukimetameta kwa dhahabu, 2 vito vya thamani na lulu! 1
Revelation 21:18Ukuta huo ulijengwa kwa yaspi hali mji wenyewe ulijengwa kwa dhahabu safi, ikingʼaa kama kioo.