Revelation 21:24
Mataifa yatatembea yakiangaziwa na nuru yake na wafalme wa duniani wataleta fahari yao ndani yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
25Malango yake hayatafungwa kamwe, kwa maana hakutakuwa na usiku humo.
Cross References
Psalms 22:27Miisho yote ya dunia itakumbuka 2 na kumgeukia Bwana, 1 nazo jamaa zote za mataifa 2 watasujudu mbele zake, 1
Isaiah 2:2Katika siku za mwisho 1 mlima wa Hekalu la Bwana utaimarishwa 2 kama mlima mkuu miongoni mwa milima yote, 1 utainuliwa juu ya vilima, 2 na mataifa yote yatamiminika huko.
Isaiah 52:15hivyo atayashangaza mataifa mengi, 2 nao wafalme watafunga vinywa vyao kwa sababu yake. 1 Kwa kuwa yale ambayo hawakuambiwa, watayaona, 2 nayo yale wasiyoyasikia, watayafahamu.
Isaiah 55:10Kama vile mvua na theluji 2 ishukavyo kutoka mbinguni, 1 nayo hairudi tena huko 2 bila kunywesha dunia 1 na kuichipusha na kuistawisha, 2 hivyo hutoa mbegu kwa mpanzi 2 na mkate kwa mlaji, 1
Isaiah 60:13“Utukufu wa Lebanoni utakujilia, 2 msunobari, mvinje pamoja na mteashuri, 1 ili kupapamba mahali pangu patakatifu, 2 nami nitapatukuza mahali pa miguu yangu. 1
Isaiah 66:11Kwa kuwa mtanyonya na kutosheka 2 katika faraja ya matiti yake; 1 mtakunywa sana, 2 na kuufurahia wingi wa mafuriko ya ustawi wake.”