Revelation 21:25
Malango yake hayatafungwa kamwe, kwa maana hakutakuwa na usiku humo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the gates of it shall not be shut at all by day: for there shall be no night there.
In Context
24Mataifa yatatembea yakiangaziwa na nuru yake na wafalme wa duniani wataleta fahari yao ndani yake.
26Utukufu na heshima za mataifa zitaletwa humo.
Cross References
Isaiah 60:11Malango yako yatakuwa wazi siku zote, 2 kamwe hayatafungwa, mchana wala usiku, 1 ili watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa: 2 wafalme wao wakiongoza maandamano ya ushindi. 1
Zechariah 14:7Itakuwa siku ya kipekee, isiyo na mchana wala usiku, siku ijulikanayo na Bwana. Jioni inapofika nuru itakuwepo.
Revelation 22:5Usiku hautakuwako tena, wala hawatahitaji mwanga wa taa au wa jua, kwa maana Bwana Mungu atakuwa nuru yao, nao watatawala milele na milele.