bible.software › Revelation › Revelation 21 › Revelation 21:26
Revelation 21:26
Utukufu na heshima za mataifa zitaletwa humo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they shall bring the glory and honour of the nations into it.
In Context
25Malango yake hayatafungwa kamwe, kwa maana hakutakuwa na usiku humo.
27Lakini kitu kichafu hakitaingia humo kamwe, wala mtu yeyote atendaye mambo ya aibu au ya udanganyifu. Bali watakaoingia humo ni wale tu ambao majina yao yameandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo.
Read all of Revelation 21
This Verse In Other Editions
Study Revelation 21:26