The Bible Software
bible.softwareUfunuoUfunuo 5 › Ufunuo 5:13

Ufunuo 5:13

Kisha nikasikia kila kiumbe mbinguni na duniani, chini ya nchi na baharini na vyote vilivyomo ndani yake vikiimba: 1 “Sifa na heshima na utukufu na uweza 2 ni vyake yeye aketiye juu ya hicho kiti cha enzi 1 na kwa Mwana-Kondoo, 2 milele na milele!”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And every creature which is in heaven, and on the earth, and under the earth, and such as are in the sea, and all that are in them, heard I saying, Blessing, and honour, and glory, and power, be unto him that sitteth upon the throne, and unto the Lamb for ever and ever.

In Context

12Nao waliimba kwa sauti kuu, wakisema: 1 “Anastahili Mwana-Kondoo, yeye aliyechinjwa, 2 kupokea uweza na utajiri na hekima na nguvu 2 na heshima na utukufu na sifa!”

14Wale viumbe wenye uhai wanne wakasema, “Amen!” Nao wale wazee ishirini na wanne wakaanguka kifudifudi wakaabudu.

Read all of Ufunuo 5

Cross References

Psalms 72:18Bwana Mungu, Mungu wa Israeli, apewe sifa, 2 yeye ambaye peke yake hutenda mambo ya ajabu. 1

Psalms 148:2Msifuni, enyi malaika wake wote, 2 msifuni yeye, enyi jeshi lake lote la mbinguni. 1

Isaiah 42:10Mwimbieni Bwana wimbo mpya, 2 sifa zake toka miisho ya dunia, 1 ninyi mshukao chini baharini, 2 na vyote vilivyomo ndani yake, 2 enyi visiwa na wote wakaao ndani yake. 1

Luke 2:14“Atukuzwe Mungu juu mbinguni, 2 na duniani iwe amani kwa watu aliowaridhia.”

Romans 11:36Kwa maana vitu vyote vyatoka kwake, viko kwake na kwa ajili yake. 2 Utukufu ni wake milele! Amen.

Ephesians 3:21yeye atukuzwe katika kanisa na katika Kristo Yesu kwa vizazi vyote, milele na milele. Amen.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Ufunuo 5:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ufunuo 5:12Ufunuo 5Ufunuo 5:14 →