Ufunuo 6:13
Nyota zilizo angani zikaanguka ardhini kama vile matunda ya mtini yasiyokomaa yaangukavyo wakati mti wake unapotikiswa na upepo mkali.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 15:33Atafanana na mzabibu uliopukutishwa matunda yake kabla hayajaiva, 2 kama mzeituni unaodondosha maua yake. 1
Isaiah 33:9Ardhi inaomboleza + 33:9 Au: Ardhi inakauka. na kuchakaa, 2 Lebanoni imeaibika na kunyauka, 1 Sharoni ni kama Araba, 2 nayo Bashani na Karmeli 2 wanapukutisha majani yao. 1
Ezekiel 32:7Nitakapokuzimisha, nitafunika mbingu 2 na kuzitia nyota zake giza; 1 nitalifunika jua kwa wingu, 2 nao mwezi hautatoa nuru yake. 1
Daniel 8:10Pembe hiyo ikaendelea kukua hadi kufikia jeshi la mbinguni, nayo ikalitupa baadhi ya jeshi la vitu vya angani hapa chini duniani, na kulikanyaga.
Matthew 24:29“Mara baada ya dhiki ya siku zile, 1 “ ‘jua litatiwa giza, 2 nao mwezi hautatoa nuru yake; 1 nazo nyota zitaanguka kutoka angani, 2 na nguvu za anga zitatikisika.’
Revelation 8:10Malaika wa tatu akaipiga tarumbeta yake, na nyota kubwa iliyokuwa ikiwaka kama taa ikaanguka toka angani, ikaangukia theluthi ya mito na chemchemi za maji.