The Bible Software
bible.softwareRomansRomans 1 › Romans 1:3

Romans 1:3

yaani, Injili inayomhusu Mwanawe, yeye ambaye kwa uzao wa mwili alikuwa mzao wa Daudi,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Concerning his Son Jesus Christ our Lord, which was made of the seed of David according to the flesh;

In Context

2Injili ambayo Mungu alitangulia kuiahidi kwa vinywa vya manabii wake katika Maandiko Matakatifu,

4na ambaye kwa uwezo wa Roho wa utakatifu alidhihirishwa kuwa Mwana wa Mungu kwa ufufuo wake kutoka kwa wafu, yaani, Yesu Kristo, Bwana wetu.

Read all of Romans 1

Cross References

Genesis 3:15Nami nitaweka uadui 2 kati yako na huyo mwanamke, 2 na kati ya uzao wako na wake, 1 yeye atakuponda kichwa, 2 nawe utamuuma kisigino.”

Psalms 2:7Nitatangaza amri ya Bwana: 2 Yeye aliniambia, “Wewe ni Mwanangu, 2 leo mimi nimekuzaa. 1

Isaiah 9:6Kwa maana, kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, 2 tumepewa mtoto mwanaume, 2 nao utawala utakuwa mabegani mwake. 1 Naye ataitwa 2 Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, 2 Baba wa Milele, Mfalme wa Amani. 1

Jeremiah 33:15“ ‘Katika siku hizo na wakati huo 2 nitalifanya Tawi la haki lichipuke kutoka ukoo wa Daudi, 1 naye atafanya lile lililo haki na sawa 2 katika nchi. 1

Amos 9:11“Katika siku ile nitaisimamisha 2 hema ya Daudi iliyoanguka. 1 Nitakarabati mahali palipobomoka 2 na kujenga upya magofu yake, 2 na kuijenga kama ilivyokuwa awali, 1

Matthew 1:6Yese akamzaa Daudi ambaye alikuwa mfalme. 1 Daudi akamzaa Solomoni, ambaye mama yake ni yule aliyekuwa mke wa Uria. 2

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Romans 1:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Romans 1:2Romans 1Romans 1:4 →