Warumi 10:11
Kama yasemavyo Maandiko, “Yeyote amwaminiye hataaibika kamwe.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For the scripture saith, Whosoever believeth on him shall not be ashamed.
In Context
Cross References
Isaiah 28:16Kwa hiyo hivi ndivyo Bwana Mwenyezi asemavyo: 1 “Tazama, ninaweka jiwe katika Sayuni, 2 jiwe lililojaribiwa, 1 jiwe la pembeni la thamani kwa ajili ya msingi thabiti. 2 Yeye atumainiye kamwe hatatiwa hofu. 1
Jeremiah 17:7“Lakini amebarikiwa mtu ambaye tumaini lake ni katika Bwana, 2 ambaye matumaini yake ni katika Bwana. 1
1 Peter 2:6Kwa maana imeandikwa katika Maandiko: 1 “Tazama, naweka katika Sayuni, 2 jiwe la pembeni teule lenye thamani, 1 na yeyote atakayemwamini 2 hataaibika kamwe.”