The Bible Software
bible.software › 1 Petro › 1 Petro 2 › 1 Petro 2:6

1 Petro 2:6

Kwa maana imeandikwa katika Maandiko: 1 “Tazama, naweka katika Sayuni, 2 jiwe la pembeni teule lenye thamani, 1 na yeyote atakayemwamini 2 hataaibika kamwe.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Wherefore also it is contained in the scripture, Behold, I lay in Sion a chief corner stone, elect, precious: and he that believeth on him shall not be confounded.

In Context

5ninyi nanyi, kama mawe yaliyo hai, mnajengwa kuwa nyumba ya kiroho, ili mpate kuwa ukuhani mtakatifu, mkitoa dhabihu za kiroho zinazokubaliwa na Mungu kwa njia ya Yesu Kristo.

7Kwenu ninyi mnaoamini, jiwe hili ni la thamani. Lakini kwao wasioamini, 1 “Jiwe walilolikataa waashi 2 limekuwa jiwe kuu la pembeni,”

Read all of 1 Petro 2

Cross References

Psalms 40:14Wote wanaotafuta kuuondoa uhai wangu, 2 waaibishwe na kufadhaishwa; 1 wote wanaotamani kuangamizwa kwangu, 2 warudishwe nyuma kwa aibu. 1

Isaiah 28:16Kwa hiyo hivi ndivyo Bwana Mwenyezi asemavyo: 1 “Tazama, ninaweka jiwe katika Sayuni, 2 jiwe lililojaribiwa, 1 jiwe la pembeni la thamani kwa ajili ya msingi thabiti. 2 Yeye atumainiye kamwe hatatiwa hofu. 1

Isaiah 42:1“Huyu hapa mtumishi wangu, ninayemtegemeza, 2 mteule wangu, ambaye ninapendezwa naye; 1 nitaweka Roho yangu juu yake, 2 naye ataleta haki kwa mataifa. 1

Isaiah 50:7Kwa sababu Bwana Mwenyezi ananisaidia, 2 sitatahayarika. 1 Kwa hiyo nimekaza uso wangu kama jiwe la gumegume, 2 nami ninajua sitaaibika. 1

Daniel 10:21Lakini kwanza nitakuambia kile kilichoandikwa katika Kitabu cha Kweli. (Hakuna hata mmoja anayenisaidia dhidi yao isipokuwa Mikaeli, mkuu wenu.

Matthew 12:18“Tazama mtumishi wangu niliyemchagua, 2 mpendwa wangu, ninayependezwa naye. 1 Nitaweka Roho wangu juu yake, 2 naye atatangaza haki kwa mataifa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 1 Petro 2:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Petro 2:51 Petro 21 Petro 2:7 →