The Bible Software
bible.softwareWarumiWarumi 11 › Warumi 11:12

Warumi 11:12

Basi ikiwa kukosa kwao kumekuwa utajiri mkubwa kwa ulimwengu, tena kama kuangamia kwao kumeleta utajiri kwa watu wa Mataifa, kurudishwa kwao kutaleta utajiri mkuu zaidi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Now if the fall of them be the riches of the world, and the diminishing of them the riches of the Gentiles; how much more their fulness?

In Context

11Hivyo nauliza tena: Je, Waisraeli walijikwaa ili waanguke na kuangamia kabisa? La, hasha! Lakini kwa sababu ya makosa yao, wokovu umewafikia watu wa Mataifa, ili kuwafanya Waisraeli waone wivu.

13Sasa ninasema nanyi watu wa Mataifa. Maadamu mimi ni mtume kwa watu wa Mataifa, naitukuza huduma yangu

Read all of Warumi 11

Cross References

Isaiah 11:11Katika siku hiyo Bwana atanyoosha mkono wake mara ya pili kurudisha mabaki ya watu wake waliosalia kutoka Ashuru, Misri, Pathrosi, + 11:11 Pathrosi ina maana Misri ya Juu. Kushi, Elamu, Babeli, Hamathi na kutoka visiwa vya baharini. 1

Isaiah 66:8Ni nani amepata kusikia jambo kama hili? 2 Ni nani amepata kuona mambo kama haya? 1 Je, nchi yaweza kuzaliwa kwa siku moja, 2 au taifa laweza kutokea mara? 1 Mara Sayuni alipoona utungu, 2 alizaa watoto wake. 1

Micah 5:7Mabaki ya Yakobo yatakuwa 2 katikati ya mataifa mengi 1 kama umande kutoka kwa Bwana, 2 kama manyunyu juu ya majani, 1 ambayo hayamngoji mtu 2 wala kukawia kwa mwanadamu. 1

Zechariah 8:20Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Mataifa mengi na wakazi wa miji mingi watakuja,

Romans 11:15Kwa kuwa ikiwa kukataliwa kwao ni kupatanishwa kwa ulimwengu, kukubaliwa kwao si kutakuwa ni uhai baada ya kufa?

Romans 11:33Tazama jinsi kilivyo kina cha utajiri 2 wa hekima na maarifa ya Mungu! 1 Tazama jinsi ambavyo hukumu zake hazichunguziki, 2 na ambavyo njia zake zisivyotafutikana! 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Warumi 11:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Warumi 11:11Warumi 11Warumi 11:13 →