The Bible Software
bible.softwareRomansRomans 11 › Romans 11:33

Romans 11:33

Tazama jinsi kilivyo kina cha utajiri 2 wa hekima na maarifa ya Mungu! 1 Tazama jinsi ambavyo hukumu zake hazichunguziki, 2 na ambavyo njia zake zisivyotafutikana! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

O the depth of the riches both of the wisdom and knowledge of God! how unsearchable are his judgments, and his ways past finding out!

In Context

32Kwa maana Mungu amewafunga wanadamu wote kwenye kuasi ili apate kuwarehemu wote. 1 Wimbo Wa Shukrani 1

34“Ni nani aliyeyafahamu mawazo ya Bwana? 2 Au ni nani ambaye amekuwa mshauri wake?” 1

Read all of Romans 11

Cross References

Esther 2:22Lakini Mordekai aligundua hila hii na kumwambia Malkia Esta, ambaye baadaye alimwarifu mfalme, huku akimsifu Mordekai.

Job 9:10Hutenda maajabu yasiyopimika, 2 miujiza isiyoweza kuhesabiwa. 1

Job 11:7“Je, waweza kujua siri za Mungu? 2 Je, waweza kuyachunguza mambo yote kumhusu Mwenyezi? 1

Job 26:14Haya ni mambo madogo tu katika matendo yake; 2 tazama jinsi ulivyo mdogo mnongʼono tunaousikia kumhusu! 1 Ni nani basi awezaye kuelewa 2 ngurumo za nguvu zake?”

Job 37:19“Tuambieni yatupasayo kumwambia; 2 hatuwezi kutayarisha shauri letu kwa sababu ya ujinga wetu. 1

Psalms 36:6Haki yako ni kama milima mikubwa, 2 hukumu zako ni kama kilindi kikuu. 1 Ee Bwana, wewe huwahifadhi 2 mwanadamu na mnyama. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Romans 11:33

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Romans 11:32Romans 11Romans 11:34 →