The Bible Software
bible.softwareWarumiWarumi 11 › Warumi 11:32

Warumi 11:32

Kwa maana Mungu amewafunga wanadamu wote kwenye kuasi ili apate kuwarehemu wote. 1 Wimbo Wa Shukrani 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For God hath concluded them all in unbelief, that he might have mercy upon all.

In Context

31hivyo nao Waisraeli wamekuwa waasi ili kwamba wao nao sasa waweze kupata rehema kwa ajili ya rehema za Mungu kwenu.

33Tazama jinsi kilivyo kina cha utajiri 2 wa hekima na maarifa ya Mungu! 1 Tazama jinsi ambavyo hukumu zake hazichunguziki, 2 na ambavyo njia zake zisivyotafutikana! 1

Read all of Warumi 11

Cross References

John 1:7Alikuja kama shahidi apate kuishuhudia hiyo nuru, ili kwa kupitia kwake watu wote waweze kuamini.

Romans 3:9Tusemeje basi? Je, sisi ni bora kuwaliko wao? La hasha! Kwa maana tumekwisha kuhakikisha kwa vyovyote kwamba Wayahudi na watu wa Mataifa wote wako chini ya nguvu ya dhambi.

Galatians 3:22Lakini Maandiko yamefanya vitu vyote vifungwe chini ya nguvu ya dhambi, ili yale yaliyoahidiwa kwa njia ya imani katika Yesu Kristo yapate kupewa wale wanaoamini.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Warumi 11:32

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Warumi 11:31Warumi 11Warumi 11:33 →