Romans 11:35
“Au ni nani aliyempa chochote 2 ili arudishiwe?” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Or who hath first given to him, and it shall be recompensed unto him again?
In Context
34“Ni nani aliyeyafahamu mawazo ya Bwana? 2 Au ni nani ambaye amekuwa mshauri wake?” 1
36Kwa maana vitu vyote vyatoka kwake, viko kwake na kwa ajili yake. 2 Utukufu ni wake milele! Amen.
Cross References
Job 35:7Kama wewe ni mwadilifu, unampa nini, 2 au yeye anapokea nini mkononi kwako? 1
Matthew 20:15Je, sina haki yangu kufanya kile nitakacho na mali yangu mwenyewe? Au unaona wivu kwa kuwa nimekuwa mkarimu?’