The Bible Software
bible.softwareWarumiWarumi 12 › Warumi 12:11

Warumi 12:11

Msiwe wavivu, bali mwe na bidii katika roho mkimtumikia Bwana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Not slothful in business; fervent in spirit; serving the Lord;

In Context

10Pendaneni ninyi kwa ninyi kwa upendo wa ndugu. Waheshimuni na kuwatanguliza wengine.

12Kuweni na furaha katika tumaini, katika dhiki kuweni na saburi, dumuni katika maombi.

Read all of Warumi 12

Cross References

Proverbs 6:6Ewe mvivu, mwendee mchwa; 2 zitafakari njia zake ukapate hekima! 1

Proverbs 13:4Mvivu hutamani sana na hapati kitu, 2 bali nafsi ya mwenye bidii 2 hutoshelezwa kikamilifu. 1

Proverbs 22:29Je, unamwona mtu stadi katika kazi yake? 2 Atahudumu mbele ya wafalme; 2 hatahudumu mbele ya watu duni.

Proverbs 26:13Mvivu husema, “Yuko simba barabarani, 2 simba mkali anazunguka mitaa!” 1

Isaiah 56:10Walinzi wa Israeli ni vipofu, 2 wote wamepungukiwa na maarifa; 1 wote ni mbwa walio bubu, 2 hawawezi kubweka; 1 hulala na kuota ndoto, 2 hupenda kulala. 1

Matthew 25:26“Bwana wake akajibu, ‘Wewe mtumishi mwovu na mvivu! Ulijua kwamba ninavuna mahali nisipopanda na kukusanya mahali nisipotawanya mbegu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Warumi 12:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Warumi 12:10Warumi 12Warumi 12:12 →