Romans 12:2
Msifuatishe tena mfano wa ulimwengu huu, bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu. Ndipo mtaweza kuonja na kuhakikisha ni nini mapenzi ya Mungu yaliyo mema, yanayopendeza machoni pake na ukamilifu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 18:29“ ‘Kila mtu atakayefanya mojawapo ya machukizo haya, watu hao ni lazima wakatiliwe mbali na watu wao.
Psalms 19:7Sheria ya Bwana ni kamilifu, 2 ikihuisha nafsi. 1 Shuhuda za Bwana ni za kuaminika, 2 zikimpa mjinga hekima. 1
Psalms 51:10Ee Mungu, uniumbie moyo safi, 2 uifanye upya roho ya uthabiti ndani yangu. 1
Psalms 119:72Sheria inayotoka kinywani mwako ina thamani kubwa kwangu 2 kuliko maelfu ya vipande vya fedha na dhahabu. 2 Haki Ya Sheria Ya Bwana 1
Psalms 119:103Tazama jinsi maneno yako yalivyo matamu kwangu, 2 matamu kuliko asali katika kinywa changu! 1
Psalms 119:174Ee Bwana, ninatamani wokovu wako, 2 na sheria yako ni furaha yangu. 1