Romans 12:4
Kama vile katika mwili mmoja tulivyo na viungo vingi, navyo viungo vyote havina kazi moja,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For as we have many members in one body, and all members have not the same office:
In Context
Cross References
1 Corinthians 12:12Kama vile mwili ulivyo mmoja nao una viungo vingi, navyo viungo vyote vya mwili ingawa ni vingi, ni mwili mmoja, vivyo hivyo na Kristo.
Ephesians 4:4Kuna mwili mmoja na Roho mmoja, kama vile mlivyoitwa katika tumaini moja.